Picha za Matukio

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alihutubia wakazi wa Kata ya Bomambuzi katika Manipstaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwenye uzinduzi wa Uboresdhaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage akihutubia wakazi wa Kata ya Bomambuzi katika Manipstaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwenye uzinduzi wa Uboresdhaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama akitoa salamu zake kwenye Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akibofya kitufe kwenye Mashine ya BVR kuashiria uzinduzi wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura.

Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (waliovaa kofia) wakifuatilia matukio kabla ya uzinduzi wa Uboreshaji wa Daftari la Wapiga kura.

Baadhi ya wageni waalikwa kwenye uzinduzi wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *