Picha za Matukio Wakazi wa Kata za Kihonda na Kibuta wajitokeza kuandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura March 29, 2019| Hussein Makame Baadhi ya wakazi wa Kata ya Kihonda wakiwa kwenye foleni ya kujiandikisha Baadhi ya wakazi wa Kata ya Kihonda wakisubiri kujiandikisha Baadhi ya wakazi wa Kata ya Kihonda wakisubiri kujiandikisha Baadhi ya vijana waliotimiza umri wa miaka 18 wakionesha kadi zao za mpiga kura baada ya kuandikishwa kwenye Kata ya Kibuta.