Picha za Matukio

Wafanyakazi wa Tume washiriki Maadhimisho ya Mei Mosi, Dar es Salaam

Wafanyakazi wa Tume wakiwa kwenye maandamano wakati waliposhikiriki kwenye Maadhimisho ya Mei Mosi 2019, Dar es Salaam

Wafanyakazi wa Tume wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kuhitimisha maandamano wakati waliposhikiriki kwenye Maadhimisho ya Mei Mosi 2019, Dar es Salaam

Wafanyakazi wa Tume wakiwa kwenye maandamano wakati waliposhikiriki kwenye Maadhimisho ya Mei Mosi 2019, Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Tume ya Taifa yan Uchaguzi wameungana na wenzao duniani kushiriki kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi iliyoadhimishwa katika uwanja wa Uhuru jiji Dar es Salaam

Katika maadhimisho hayo wafanyakazi walishiriki kwenye maandamamo kuanzia viwanja vya mnazi mmoja hadi kwenye uwanja wa Uhuru ambapo maandamano yalipokelewa na Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *