Picha za Matukio

Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura kwa Majaribio wakamilika

BVR Operator akichukua alama za vidole vya mikono mmoja wa wananchi waliofika kujiandikisha kwenye kata ya Kihonda mkoani Morogoro.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage akizungumza na wakala wa uandikishaji katika moja ya vituo vya uboreshaji wa majaribio katika kata ya Kihonda.

Baadhi ya wakazi wa Kata ya Kihonda mkoani Morogoro wakionesha kadi zao za mpiga kura baada ya kujiandikisha kwenye uboreshaji wa majaribio kwenye Kata ya Kihonda.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *