Picha za Matukio

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

1.Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (aliyevaa suti) ametembelea Kituo cha Kuandikishia Wapiga Kura cha Ofisi ya Mtendaji Kata ya Murieti Halmashauri ya Jiji la Arusha wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.
1. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (aliyevaa suti) ametembelea Kituo cha Kuandikishia Wapiga Kura cha Ofisi ya Mtendaji Kata ya Murieti Halmashauri ya Jiji la Arusha wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.
BVR Kit Operator katika kituo cha kuandikisha Wapiga Kura cha Ofisi ya KNCU Kyala Wilaya ya Moshi Vijijini Bw. Willy Nzenga akimkabidhi Kadi ya Mpiga Kura mmoja wa Wapiga Kura aliyerekebisha taarifa zake wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.

Wananchi wakiwa katika vituo vya kujiandikishia Mkoani Arusha. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoa wa Arusha na Kilimanjaro umeanza tarehe 18 Julai 2019 na unatarajiwa kumalizika tarehe 24 Julai 2019.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *