Picha za Matukio

Tume yatoa mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji kwenye Kata ya Kibuta na Kihonda

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Jokate Mwengelo akifungua Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji katika ngazi ya Jimbo leo Machi 26, 2019 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Jokate Mwengelo akifungua Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji katika ngazi ya Jimbo leo Machi 26, 2019 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia.
3.Afisa TEHAMA Mwandamizi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Frank Mhando akiwasilisha mada kwenye Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji katika ngazi ya Jimbo leo Machi 26, 2019 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.
Afisa TEHAMA Mwandamizi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Frank Mhando akiwasilisha mada kwenye Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji katika ngazi ya Jimbo leo Machi 26, 2019 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.
2.Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi Giveness Aswile akifungua Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji katika ngazi ya Jimbo leo Machi 26, 2019 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi Giveness Aswile akifungua Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji katika ngazi ya Jimbo leo Machi 26, 2019 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
4.Baadhi ya Watendaji wa Tume wakiwa kwenye Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji katika ngazi ya Jimbo leo Machi 26, 2019 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, mkoani Morogoro.
Baadhi ya Watendaji wa Tume wakiwa kwenye Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji katika ngazi ya Jimbo leo Machi 26, 2019 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, mkoani Morogoro.
Baadhi ya washiriki wa Mafunzo wakimsilikiza muwasilishaji wa mada kwenye Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
Baadhi ya washiriki wa Mafunzo wakimsilikiza muwasilishaji wa mada kwenye Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
5.Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Jokate Mwengelo (wa pili kushoto waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja baada ya Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji katika ngazi ya Jimbo leo Machi 26, 2019 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Jokate Mwengelo (wa pili kushoto waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja baada ya Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji katika ngazi ya Jimbo leo Machi 26, 2019 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *