Picha za Matukio

Tume yakutana na wadau wa uchaguzi kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (R) Semistocles Kaijage akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftrai la Wapiga Kura.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Athumani Kihamia akizungumza na wadau wa Uchaguzi kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

Baadhi ya wajumbe wa Tume wakifuatialia uwasilishaji wa mada

Maafisa wa Tume wakiwaonesha wadau wa Uchaguzi jinsi Mashine ya BVR inavyofanya kazi wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura.

Baadhi ya wakurugenzi wa idara za Tume
Baadhi ya wakurugenzi wa idara za Tume
Wawakilishi wa viongozi wa viongozi wa dini

Wawakilishi wa viongozi wa vyama vya siasa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *