Picha za Matukio

Tume yakutana na viongozi wa vyama vya siasa kujadili Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

Mwenyekiti wa Tume Jaji (R) Semistolces Kaijage akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano na viongozi wa vyama vya siasa.
Mwenyekiti wa Tume Jaji (R) Semistolces Kaijage akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano na viongozi wa vyama vya siasa.
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wakifuatili mjadala.
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wakifuatili mjadala.
Mwenyekiti wa Tume Jaji (R) Semistolces Kaijage akiwa na baadhi wa wajumbe wa Tume wakifuatilia mada inayowasilishwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi (hayupo pichani).
Mwenyekiti wa Tume Jaji (R) Semistolces Kaijage akiwa na baadhi wa wajumbe wa Tume wakifuatilia mada inayowasilishwa na Kaimu Mkuu wa Idara ya Huduma za Sheria (hayupo pichani).
Baadhi ya watendaji na watumishi wa Tume wakifuatilia mjadala.
Baadhi ya watendaji na watumishi wa Tume wakifuatilia mjadala.
Mwenyekiti wa Tume Jaji (R) Semistolces Kaijage (katikati) akiwa na baadhi ya wajumbe wa Tume wakifuatilia mjdala wa viongzoi wa vyama vya siasa.
Mwenyekiti wa Tume Jaji (R) Semistolces Kaijage (katikati) akiwa na baadhi ya wajumbe wa Tume wakifuatilia mjdala wa viongozi wa vyama vya siasa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *