BVR Operator akichukua alama za vidole vya mikono mmoja wa wananchi waliofika kujiandikisha kwenye kata ya Kihonda mkoani Morogoro.
Continue Reading
Wakazi wa Kata za Kihonda na Kibuta wajitokeza kuandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
Baadhi ya wakazi wa Kata ya Kihonda wakiwa kwenye foleni ya kujiandikisha
Mwenyekiti wa Tume ashuhudia mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji Kata ya Kihonda
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (aliyevaa kofia) akishuhudia mafunzo ya BVR ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura […]
Tume yatoa mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji kwenye Kata ya Kibuta na Kihonda
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Jokate Mwengelo akifungua Mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji katika ngazi ya Jimbo leo Machi 26, 2019 […]
Tume kuanza Uboreshaji wa Majaribio katika Kata za Kibuta na Kihonda
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage
Tume imevitaka Vyama vyenye nia ya kuweka Mawakala katika uandikishaji huu wa Majaribio […]
Tume kushirikisha wadau kila hatua kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage akisoma hotuba ya ufunguzi wa mkutano kati ya Tume na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika jijini […]
Tume yakutana na viongozi wa vyama vya siasa kujadili Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
Mwenyekiti wa Tume Jaji (R) Semistolces Kaijage akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano na viongozi wa vyama vya siasa.
Continue Reading
Watendaji wa Tume wakagua vituo vya kupigia kura katika Kata ya Biturana Wilayani Kibondo
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Zanzibar Felix Wandwe akizungumza na wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi (hawapo pichani) watakaosimamia uchaguzi mdogo wa udiwani Katika Kata […]
Maamuzi ya Tume kuhusu Rufaa ya Uchaguzi Mdogo wa Tarehe 19 Januari, 2019 Kata ya Magomeni
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa moja (1) kutoka kwa Mgombea Udiwani wa Kata ya Magomeni katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Tume imepokea rufaa hiyo kwa kuzingatia kifungu cha 44(5) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292, kikisomwa pamoja na kanuni ya 28(1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (Uchaguzi wa Madiwani) za mwaka 2015,
Rufaa hiyo iliwasilishwa na mgombea Udiwani wa Chama cha Wananchi (CUF) Ndg. Ngude Athumani Yusuph akitaka arejeshwe kuwa […]
Tume yatangaza Uchaguzi mdogo katika Kata za Biturana ya Kibondo na Mwanyahina ya Meatu
Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji (Rufaa) Mbarouk Salim Mbarouk.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa kata mbili utakaofanyika tarehe 19 Januari 2019 sanjari na uchaguzi mdogo wa Jimbo la Temeke na Kata 46 za Tanzania Bara uliotangazwa awali.
Akitoa taarifa kwa umma Jijini Dar es Salaam leo (Jumanne), Makamu Mwenyekiti wa Tume, […]