Picha za Matukio Mwenyekiti wa Tume ashuhudia mafunzo kwa Watendaji wa Uboreshaji Kata ya Kihonda March 28, 2019March 28, 2019| Hussein Makame Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (aliyevaa kofia) akishuhudia mafunzo ya BVR ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura kwenye Kata ya Kihonda katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (kulia) akizungumza kwenye mafunzo.Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi Giveness Aswile na Mjumbe wa Tume Mhe. Omari Ramadhani Mapuri. Mjumbe wa Tume Mhe. Omari Ramadhani Mapuri akitoa mchango wake Mjumbe wa Tume Mhe. Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akifafanua jambo wakati wa mafunzo Baadhi ya washiriki wa mafunzo wakifuatilia mafunzo Baadhi ya washiriki wa mafunzo wakifuatilia mafunzo