Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Liwale Mkoa wa Lindi, […]
Category: Habari
Wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo watakiwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka Wasimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Ubunge na Udiwani utakaofanyika Septemba 16 mwaka huu katika Majimbo ya Ukonga na Monduli na kwenye Kata […]
Makamu Mwenyekiti wa Tume atembelea Kata ya Mlowa Bwawani kukagua maandalizi Uchaguzi Mdogo
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mbarouk Salim […]
Tume yatangaza Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika kata 21 utakaofanyika Septemba 16, 2018
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika kata 21 za mikoa 10 ya Tanzania Bara utakaofanyika […]
Watumishi jiji la Arusha watakiwa kudumisha upendo na kufanya kazi kwa bidii
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia akizungumza na wafanyakazi wa jiji la Aruhs wakati alipokwenda kuwaaga.
Watendaji na Watumishi wa Serikali katika jiji la Arusha wametakiwa kushirikiana,kupendana na kufanya kazi kwa bidii ili kulinda mafanikio ya kimaendeleo yaliyofikiwa na jiji hilo.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Arusha na […]
Wagombea 30 wa udiwani wapita bila kupingwa uchaguzi mdogo wa udiwani
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia
Wagombea 30 wa udiwani katika uchaguzi wa kata 77 wamepita bila kupingwa, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa […]
Tume yateua madiwani 8 wa Viti Maalum wa CCM na Chadema
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeteua madiwani nane (8) wanawake wa viti maalum kujaza nafasi wazi za madiwani katika halmashauri nane (8) […]
Tume yatangaza Uchaguzi Mdogo Jimbo la Buyungu na Kata 79 za Tanzania Bara
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika Jimbo la Buyungu, Mkoani Kigoma na kwenye Kata 79 za Tanzania Bara.
Akitangaza kufanyika kwa uchaguzi huo Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji […]