Habari

Tume yatangaza Uchaguzi mdogo katika Kata za Biturana ya Kibondo na Mwanyahina ya Meatu

Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji (Rufaa) Mbarouk Salim Mbarouk. Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji (Rufaa) Mbarouk Salim Mbarouk.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa kata mbili utakaofanyika tarehe 19 Januari 2019 sanjari na uchaguzi mdogo wa Jimbo la Temeke na Kata 46 za Tanzania Bara uliotangazwa awali.
Akitoa taarifa kwa umma Jijini Dar es Salaam leo (Jumanne), Makamu Mwenyekiti wa Tume, […]