Picha za Matukio

Baadhi ya Watumishi wa Tume wachangia Mkakati wa Tokomeza Zero wilayani Kisarawe

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (kushoto) akimkabidhi mchango wa fedha taslimu shilingi Milioni 2.1 kwenye kampeni ya “Tokomeza Zero” kwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Jokate Mwengelo. Mchango huo umetolewa na baadhi ya watumishi wa Tume walioguswa na kuhamasika. Tume ipo wilyani Kisarawe kwa maandalizi ya Uboreshaji wa Majaribio wa Daftari la Daftari la Wapiga Kura unaotarajiwa kuanza tarehe 29 Machi hadi Aprili 4, 2019 katika kata za Kibuta na Kihonda.

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Jokate Mwengelo akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Tume. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *