Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage akizungumza na maafisa uandikishaji ngazi ya Kata, Bariadi Mji Mkoani Simiyu.
Continue Reading
Author: Hussein Makame
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha
1. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (aliyevaa suti) ametembelea Kituo cha Kuandikishia Wapiga Kura cha Ofisi ya Mtendaji Kata […]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alihutubia wakazi wa Kata ya Bomambuzi katika Manipstaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwenye uzinduzi wa Uboresdhaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura.
Continue Reading
Tume yawataka viongozi wa dini kuwahimiza waumini wao wajitokeze kujiandikisha au kuboresha taarifa zao
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewataka viongozi wa dini kuwahimiza waumini wao juu ya kushiriki kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura au kuboresha taarifa zao ili kila mwananchi mwenye sifa za kuandkishwa akaandikishwe na yule anayeboresha taarifa zake akaboreshe.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume […]
Tume yakutana na wadau wa uchaguzi kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (R) Semistocles Kaijage akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftrai la Wapiga Kura.
Continue Reading
Tume kuanza Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mwezi Julai, 2019
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R ) Semistocles Kaijage akifungua mkutano wa tume na viongozi wa vyama vya siasa.
Continue Reading
NEC yawataka wasimamizi wa uchaguzi kuzingatia Katiba na Sheria
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R ) Mbarouk Salum Mbarouk
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia
Continue Reading
Tume yatangaza Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika Kata 32 za Tanzania Bara
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Mbarouk Salum Mbarouk.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza tarehe 15, Juni mwaka huu kuwa ni siku ya kufanyika kwa Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika kata 32 zilizopo katika halmashauri ishirini (20) za Tanzania Bara.
Akizungumza ofisini kwake jijini Dar es Salaam […]
Wafanyakazi wa Tume washiriki Maadhimisho ya Mei Mosi, Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Tume wakiwa kwenye maandamano wakati waliposhikiriki kwenye Maadhimisho ya Mei Mosi 2019, Dar es Salaam
Continue Reading
Tume yaungana na familia kumhifadhi marehemu Nanyaro kijijini kwao Arusha
Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Clarence Nanyaro, aliyezikwa mwishoni mwa juma hili kijijini kwao […]