Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage akizungumza na maafisa uandikishaji ngazi ya Kata, Bariadi Mji Mkoani Simiyu.
Continue Reading
Month: September 2019
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha
1. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (aliyevaa suti) ametembelea Kituo cha Kuandikishia Wapiga Kura cha Ofisi ya Mtendaji Kata […]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alihutubia wakazi wa Kata ya Bomambuzi katika Manipstaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwenye uzinduzi wa Uboresdhaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura.
Continue Reading
Tume yawataka viongozi wa dini kuwahimiza waumini wao wajitokeze kujiandikisha au kuboresha taarifa zao
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewataka viongozi wa dini kuwahimiza waumini wao juu ya kushiriki kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura au kuboresha taarifa zao ili kila mwananchi mwenye sifa za kuandkishwa akaandikishwe na yule anayeboresha taarifa zake akaboreshe.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume […]