Habari

Watumishi jiji la Arusha watakiwa kudumisha upendo na kufanya kazi kwa bidii

Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia akizungumza na wafanyakazi wa jiji la Aruhs wakati alipokwenda kuwaaga.    Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia akizungumza na wafanyakazi wa jiji la Aruhs wakati alipokwenda kuwaaga.
Watendaji na Watumishi wa Serikali katika jiji la Arusha wametakiwa kushirikiana,kupendana na kufanya kazi kwa bidii ili kulinda mafanikio ya kimaendeleo yaliyofikiwa na jiji hilo.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Arusha na […]