• Home
• Tovuti ya Nec
• Feedback

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
BLOGU RASMI YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Picha za Matukio

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika mikoa ya Manyara, Simiyu na Mara

September 11, 2019September 7, 2020| Hussein Makame|Leave a comment

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage akizungumza na maafisa uandikishaji ngazi ya Kata, Bariadi Mji Mkoani Simiyu.Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Semistocles Kaijage akizungumza na maafisa uandikishaji ngazi ya Kata, Bariadi Mji Mkoani Simiyu.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Mbarouk Salim Mbarouk amekutana na kuzungumza na wawakilishi wa wazee wa kimila Mkoani Manyara, [...]

<div class= Continue Reading

Picha za Matukio

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

September 11, 2019| Hussein Makame|Leave a comment

1.Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (aliyevaa suti) ametembelea Kituo cha Kuandikishia Wapiga Kura cha Ofisi ya Mtendaji Kata ya Murieti Halmashauri ya Jiji la Arusha wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.1. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia (aliyevaa suti) ametembelea Kituo cha Kuandikishia Wapiga Kura cha Ofisi ya Mtendaji Kata […]

Continue Reading
Picha za Matukio

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

September 11, 2019| Hussein Makame|Leave a comment

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alihutubia wakazi wa Kata ya Bomambuzi katika Manipstaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwenye uzinduzi wa Uboresdhaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alihutubia wakazi wa Kata ya Bomambuzi katika Manipstaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwenye uzinduzi wa Uboresdhaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura.
Mwenyekiti wa Tume [...]

<div class= Continue Reading

Habari

Tume yawataka viongozi wa dini kuwahimiza waumini wao wajitokeze kujiandikisha au kuboresha taarifa zao

September 4, 2019| Hussein Makame|Leave a comment

Viongozi wa Dini wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewataka viongozi wa dini kuwahimiza waumini wao juu ya kushiriki kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura au kuboresha taarifa zao ili kila mwananchi mwenye sifa za kuandkishwa akaandikishwe na yule anayeboresha taarifa zake akaboreshe.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume […]

Continue Reading
Picha za Matukio

Tume yakutana na wadau wa uchaguzi kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura

August 14, 2019August 14, 2019| Hussein Makame|Leave a comment

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (R) Semistocles Kaijage akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftrai la Wapiga Kura.Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (R) Semistocles Kaijage akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftrai la Wapiga Kura.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa [...]

<div class= Continue Reading

Habari

Tume kuanza Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mwezi Julai, 2019

June 13, 2019| Hussein Makame|Leave a comment

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi  Jaji (R ) Semistocles Kaijage akifungua mkutano wa tume na viongozi wa vyama vya siasa.Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R ) Semistocles Kaijage akifungua mkutano wa tume na viongozi wa vyama vya siasa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia akiwasilisha mada kwenye mkutano wa Tume na viongzoi wa vyama [...]

<div class= Continue Reading

Habari

NEC yawataka wasimamizi wa uchaguzi kuzingatia Katiba na Sheria

May 28, 2019| Hussein Makame|Leave a comment

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R ) Mbarouk Salum Mbarouk Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R ) Mbarouk Salum Mbarouk
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani KihamiaMkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia
Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi [...]

<div class= Continue Reading

Habari

Tume yatangaza Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika Kata 32 za Tanzania Bara

May 28, 2019May 28, 2019| Hussein Makame|Leave a comment

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Mbarouk Salum Mbarouk.Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Mbarouk Salum Mbarouk.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza tarehe 15, Juni mwaka huu kuwa ni siku ya kufanyika kwa Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika kata 32 zilizopo katika halmashauri ishirini (20) za Tanzania Bara.
Akizungumza ofisini kwake jijini Dar es Salaam […]

Continue Reading
Picha za Matukio

Wafanyakazi wa Tume washiriki Maadhimisho ya Mei Mosi, Dar es Salaam

May 2, 2019| Hussein Makame|Leave a comment

Wafanyakazi wa Tume wakiwa kwenye maandamano wakati waliposhikiriki kwenye Maadhimisho ya Mei Mosi 2019, Dar es SalaamWafanyakazi wa Tume wakiwa kwenye maandamano wakati waliposhikiriki kwenye Maadhimisho ya Mei Mosi 2019, Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Tume wakiwa kwenye maandamano wakati waliposhikiriki kwenye Maadhimisho ya Mei Mosi 2019, Dar es Salaam Continue Reading

Habari

Tume yaungana na familia kumhifadhi marehemu Nanyaro kijijini kwao Arusha

April 8, 2019| Hussein Makame|Leave a comment

Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Clarence Nanyaro, aliyezikwa mwishoni mwa juma hili kijijini kwao Nkomaala, wilayani Meru mkoa wa Arusha.Mkurugenzi Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Zanzibar, Felix Wandwe, akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Clarence Nanyaro, aliyezikwa mwishoni mwa juma hili kijijini kwao […]

Continue Reading

Posts navigation

Older posts

Archives

• September 2019
• August 2019
• June 2019
• May 2019
• April 2019
• March 2019
• February 2019
• December 2018
• November 2018

Recent Posts

• Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika mikoa ya Manyara, Simiyu na Mara
• Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha
• Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
• Tume yawataka viongozi wa dini kuwahimiza waumini wao wajitokeze kujiandikisha au kuboresha taarifa zao
• Tume yakutana na wadau wa uchaguzi kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura

Categories

• Habari
• Makala Maalum
• Picha za Matukio
• Taarifa kwa Umma
January 2021
S M T W T F S
« Sep
12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31

Copyright © 2021 National Electoral Commision . Developed by e-Government Agency